Hiki ni Kitengo maalumu ndani ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto kinachojihusisha na utoaji elimu na Uhamasisha Jamii kuhusu masuala ya afya.
Ni shirika lisilo la kiserekali linalofanya kazi kuhakikisha usawa katika upatikanaji wa huduma bora za afya, kwa kutathimini mifumo ya uwajibikaji katika sekta za afya na usimamizi wa fedha za umma katika ngazi zote za serikali.