Ingia kupata mafunzo na ujuzi kuhusu uelimishaji jamii, huduma za afya ngazi ya jamii na kozi nyingine nyingi .
Soma habari kuhusu shughuri mbalimbali za uelimishaji umma nchini.
Ingia kusikiliza vipindi motomoto vya afya vilivyoandaliwa kwa umahiri kutoka katika redio zilizoenea Tanzania nzima.
Ingia kupata wasaa wa kuwasiliana na wataalamu wa afya kushiriki mijadala mbalimbali inayohusu afya.
Hiki ni Kitengo maalumu ndani ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto kinachojihusisha na utoaji elimu na Uhamasisha Jamii kuhusu masuala ya afya.
Ni shirika lisilo la kiserekali linalofanya kazi kuhakikisha usawa katika upatikanaji wa huduma bora za afya, kwa kutathimini mifumo ya uwajibikaji katika sekta za afya na usimamizi wa fedha za umma katika ngazi zote za serikali.